img

Mtanzania, Rai, Bingwa, Dimba kusitisha uzalishaji kwa muda

December 4, 2020

Na KULWA MZEE -DAR ES SALAAMKAMPUNI ya New Habari2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwana Dimba imetangaza kusitishauzalishaji wa magazeti yote kwamuda kutokana na mwenendo mbaya wa biashara hivyokushindwa kujiendesha. Kutokana na hali hiyo uongozi umesema kuwa watatumiamuda huo kujipanga na kuimarisha maudhui ya habari hukumitandao ya kijamii ya Mtanzania Digital ikiendelea kufanyakazi kama,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *