img

Mila na tamaduni Kiteto zaathiri ujasiriamali

December 4, 2020

Na Mohamed Hamad, Kiteto Baadhi ya mila na tamaduni wilayani Kiteto mkoani Manyara, zimetajwa kuathiri shughuli za ujasiria mali unaofanywa na jamii kukabiliana na umaskini wa kipato. Hayo yameelezwa kwenye mafunzo maalumu ya vikundi vya vikoba yanayoendeshwa na Tanzania Redcross Society kukabiliana na umaskini wa kipato katika eneo la mradi vijiji vya Olpopong, Ndaleta, Ndedo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *