img

Mambo muhimu kuhusu uchaguzi wa Ghana

December 4, 2020

Dakika 5 zilizopita

Ghana

Simulizi ya mafanikio ya demokrasia ,katika taifa la magharibi ambalo liliingia kwenye mfumo wa vyama vingi kuanzia mwaka 1992.

Kuna wagombea wawili wa nafasi ya urais, John Mahama wa chama cha National Democratic Congress (NDC) na Nana Akufo-Addo kutoka chama kipya cha upinzani New Patriotic Party (NPP) anatarajia kushinda kwa zaidi ya asilimia 95 za kura.

Uchaguzi wa mwaka 2016 ambao ulikuwa kama marudio ya uchaguzi wa mwaka 2012, ulikuwa una wagombea wakuu wawili.

Akufo-Addo mwenye miaka 70, anawania awamu ya tatu na inawezekana kuwa awamu yake ya mwisho.

Kuna wagombea wengine watano wanaowania nafasi hiyo ya urais nao ni:

Ivor Kobina Greenstreet wa Convention People’s Congress (CPP), aliyekuwa mke wa rais Nana Konadu Agyeman Rawlings wa National Democratic Party (NDP), Papa Kwesi Nduom wa Progressive People’s Party (PPP), Edward Mahama wa People’s National Convention (PNC) na Jacob Osei Yeboah, an independent candidate.

NN

Uchumi umekuwa ukizorota na kupanda kwa mfumuko wa bei

Mwaka 2011, uvumbuzi mpya wa mafuta na uwekezaji wa kigeni uliifanya Ghana kuwa miongoni mwa uchumi unaostawi kwa haraka zaidi duniani.

Lakini kwa sasa hali imegeuka na leo uchumi umedolola kwa uchumi pamoja na kuongezeka kwa deni la umma.

Kwa zaidi ya miaka minne iliyopita sarafu ya Ghana imepoteza thamani yake katika soko la kimataifa na ilitajwa kama sarafu inayofanya vibaya zaidi barani Afrika mwaka 2014.

Uwekezaji wake katika miundo mbinu

Kwa mfano, rais Mahama ametaja nafasi yake katika ujenzi wa shule mpya za sekondari.

Katika siku za mwisho za kampeni yake, rais huyo amekuwa katika harakati za kutembelea maeneo mbalimbali akiagiza kutekelezwa kwa miradi mbalimbali mikubwa kwa midogo, ikiwemo ujenzi wa shule , masoko ya kisasa, kuwekwa kwa taa za barabarani na ujenzi wa kliniki za afya.

Kampeni kutoka vyama vyote vikuu vya kisiasa imejikita katika suala la ubunifu wa ajira

ghana

Ripoti ya hivi karibuni iliyotolewa na Benki ya dunia inaweka kiwango cha ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana (kati ya miaka 15-24) katika asilimia 48 .

Chama cha NPP kilianzisha kampeni yao mapema mwezi Oktoba kikiwa na manifesto inayosema “Ajenda kwa ajili ya ajira, kubuni fursa na mafanikio kwa wote).”

Wakati wa kampeni , chama cha DPP kimeweza kujenga kiwanda katika kila wilaya zote 216 za Ghana kama njia ya kubuni ajira.

Huku chama cha rais aliyeko madarakani kitoa ilani yake kama “Kubadilisha maisha , kuibadilisha Ghana,”kwa ajili ya Ghana ni ”ajira za kudumu kupitia viwanda”

Source link

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *