img

Madiwani watakiwa kusikiliza kero

December 4, 2020

Na Elizabeth Kilindi, Njombe. Mbunge wa Jimbo la Ludewa mkoani Njombe, Joseph Kamonga (CCM) ametoa rai kwa madiwani wateule kupitia Chama hicho, kuweka mkakati wa pamoja wa kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua na ambazo zipo nje ya uwezo wao wazipeleke sehemu husika. Rai hiyo imetolewa juzi wenye mkutano wa uchaguzi ndani ya chama pamoja,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *