img

Madiwani wapiga kura ya kutokuwa na imani na Mike Sonko

December 4, 2020

Nairobi, Kenya Madiwani 88 kati ya 122 wa kaunti ya Nairobi wamepiga kura ya kutokuwa na imani na Gavana wa Nairobi, Mike Sonko hii ni idadi ambayo imepitisha kiwango cha theluthi tatu kumuondoa gavana aliyemadarakani. Kwa mujibu wa taarifa, kitakacho fuata sasa ni wasilisho la matokeo hayo mbele ya bunge la Seneti ambapo hatma ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *