img

DC Waging’ombe ataka michango ujenzi wa bweni

December 4, 2020

Na Elizabeth Kilindi, Njombe. Watendaji wa Kata, Kijiji na Bodi shule ya Sekondari Igima wametakiwa kuhakikisha wanasimamia ukusanyaji wa michango ya ujenzi wa bweni jipya la wavulana katika shule hiyo lililoungua moto Septemba, mwaka huu. Agizo hilo lilitolewa jana na Mkuu wa wilaya ya Wanging’ombe, Lauter Kanoni wakati akipokea mifuko 250 ya saruji kutoka Shirika,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *