img

‘Celebrate Life’ ya Muzo kutoka Disemba 9

December 4, 2020

NA CHRISTOPHER MSEKENA MSANII wa kizazi kipya kutoka Downtown, Canada, Muzo Muzic, ameweka wazi kuwa albamu yake fupi (EP), Celebrate Life ataiachia rasmi Disemba 9, mwaka huu katika mitandao ya kusikiliza na kuuza muziki duniani kote. Akizungumza na MTANZANIA, Muzo mwenye asili ya Zambia alisema anaamini EP hiyo yenye jumla ya ngoma sita itawapa raha,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *