img

Papa Sapere kuja na kitu ‘Slowly’

December 3, 2020

Na CHRISTOPHER MSEKENA BAADA ya kufanya vizuri na wimbo, Why Me, msanii wa kizazi kipya anayeishi Rockford, Illinois nchini Marekani, Love Evariste a.k.a Papa Sapere, amewaomba mashabiki kukaa tayari kwa ujio wa ngoma mpya, Slowly. Akizungumza na MTANZANIA jana, Papa Sapere alisema wimbo, Slowly utatoka rasmi Jumamosi hii katika mitandao yote ya kusikiliza na kuuza,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *