img

Kings Msafiri atamba na ‘Yesu ni Wangu’

December 3, 2020

GEORGIA, MAREKANI KUTOKA Georgia, Marekani mwimbaji wa Injili anayefanya vizuri pande hizo Kings Msafiri, ametamba kuwa wimbo wake, Yesu ni Wangu umemfungulia milango mingi ikiwa ni pamoja na kupata mashabiki wapya. Kings ameliambia MTANZANIA kuwa hapo awali alikuwa hafikirii kama muziki wake unaweza kufika Afrika hasa Afrika Mashariki ili baada ya kutoa wimbo huo, Septemba,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *