img

‘Bam Bam’ ya Jdart, Madematrix gumzo

December 3, 2020

NA CHRISTOPHER MSEKENA MSANII wa kizazi kipya kutoka Japan, Jdart, amewaweka tayari mashabiki kwa ujio wake mpya kupitia kolabo, Bam Bam aliyofanya na mwanamuziki wa Kitanzania, Madematrix itakayotoka hivi karibuni. Akizungumza na MTANZANIA, Jdart mwenye asili ya Jamaica alisema msimu huu ni msimu wa burudani kwahiyo ameamua kuja na kolabo hiyo yenye muziki wa kuchezeka,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *