img

Spotify yamtaja Bad Bunny mwanamziki maarufu zaidi duniani

December 2, 2020

Drake, Bad Bunny, Dua Lipa na The Weeknd ni miongoni mwa wasanii ambao nyimbo zao zimetizamwa na kupakuliwa zaidi mwaka huu kulingana na takwimu kutoka Spotify. Drake alikuwa msanii maarufu nchini Uingereza, huku wimbo waThe Weknd wa Blinding Lights ukiwa ndio uliochezwa zaidi nchini Uingereza. Hata hivyo mwnamziki Bad Bunny ndiye aliyetajwa kuwa msanii maarufu Zaidi duniani.

Source link

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *