img

Simba yatua Dar usiku mnene

December 2, 2020

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, wawakilishi wa nchi Simba SC imefanikiwa kuwasili salama jijini Dar Es Salaam majira ya saa 7 ya usiku ikitokea Kilimanjaro baada ya mchezo wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Plateau United nchini Nigeria, akizungumza baada ya kutua Meneja wa wekendu hao wa Msimbazi, Abbas Suleiman Ally amesema safari yao haikuwa rahisi ila Mungu amewasaidia kutua salama na matokeo mkononi.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *