img

MAJALIWA: VIFO VITOKANAVYO NA UKIMWI VIMEPUNGUA NCHINI

December 2, 2020

Na MWANDISHI WETU WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema uimarishaji wa huduma za tiba ikiwemo matumizi ya dawa za kufubaza virusi vya ukimwi (ARVs) umechangia kupunguza vifo vitokanavyo na UKIMWI kutoka vifo vya watu 85,000 mwaka 2001 hadi kufikia vifo 21,529 mwaka 2019. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumanne, Desemba Mosi, 2020) katika maadhimisho ya Siku,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *