img

Wakuu wa mikoa watano walioteuliwa na Rais Mwinyi

December 1, 2020

Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi, amefanya uteuzi wa wakuu wa mikoa watano.

1. Salama Mbarouk Khatibu – Mkoa wa Kaskazini Pemba

2. Rashid Hadid Rashid – Mkoa wa Kusini Unguja

3. Ayoub Mohamed Mahmoud – Mkoa wa Kaskazini Unguja

4. Isrisa Kitwana Mustafa – Mkoa wa Mjini Magharibi

5. Mattar Zahor Masoud – Mkoa wa Kusini Pemba

Uteuzi huo umeanza leo Desemba 1, 2020.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *