img

Tanzania ifanye nini kuvuna faida za huduma ya afya kwa njia ya mtandao?

December 1, 2020

Katika miaka ya hivi karibuni, mapinduzi ya teknolojia za kidijitali yamekuwa mengi. Hii imezipa nchi nyingi faida bunifu za kupambana na changamoto mbalimbali.Mfano wa faida hizo ni huduma za afya kwa njia ya mtandao (m-health). Kwa watoa huduma za afya wengi, m-health imeleta njia mpya za namna ya kutoa huduma ya afya kwa wahitaji. Kwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *