img

Tamasha la kipekee la kusahau shida za dunia

December 1, 2020

Video ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu wakiwa wanaimba na kucheza pamoja na kutumia vyombo vya muziki vya aina yake katika tamasha lao maalum la kumsifu Mungu na kusahau shida za dunia.

Mubiru David kijana mwenye umri wa miaka 20,ni kiongozi wa watoto hao ambaye alikuwa pia mtoto anaishi katika mazingira magumu lakini sasa ameamua kusaidia watoto wanaopitia hali aliyoipitia kwa kuwapa makazi na kuimba katika bendi hii ya aina yahe.

Source link

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *