img

Mtoto azaliwa na kinga ya corona

December 1, 2020

Wakati dunia bado ikiendelea kuhangaika kutafuta Chanjo (Kingamwili), Mama mmoja wa huko nchini Singapore amejifungua mtoto ambae ana kingamwili (antibodies) dhidi ya Virusi vya Corona .

Celine Ng-Chang mwenye umri wa miaka 31, amejifungua mtoto huyo mwezi huu baada ya kufanikiwa kupona virusi vya Covid-19 akiwa mjamzito.

“Madaktari wameniambia kwamba ntakua nimemuhamishia Mtoto wangu kinga za Covid-19 nikiwa mjamzito “ amesema Mama huyo 

Kwa mujibu wa wataalamu wa afya, mtu mwenye kingamwili za Covid-19 anaweza kutoambukizwa Virusi hivyo, japo bado haijafahamika ni kwa kiwango gani.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *