img

Milioni 11 alizolipwa marehemu zarejeshwa na Takukuru

December 1, 2020

Na Ramadhani Hassan, Dodoma Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Dodoma imefanikiwa kurejesha Serikalini zaidi ya shilingi milioni 11 ambazo zililipwa zililipwa kwenye akaunti ya benki ya mtumishi marehemu kama mshahara kuanzia Oktoba 13 hadi Machi 2016 kinyume cha utaratibu. Haya yameelezwa leo, Desema Mosi, jijini hapa na Mkuu wa Takukuru,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *