img

Botswana kurejesha maelfu ya tembo Angola

December 1, 2020

Nchi hiyo ya kusini mwa Afrika ina idadi kubwa ya tembo duniani inayokadiriwa kuwa 130,000.

Lakini makumi ya maelfu ya tembo ni wakimbizi wa wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe kati ya mwaka 1975 na 2002.

Na sasa hivi watarejeshwa nchini mwao kusini mwa Angola.

Mbunge wa upinzani wa Botswana na mwanamazingira Kgoborego Nkawana amekiambia kipindi cha BBC Newsday kuwa tembo wana makazi katika sehemu kubwa Afrika kuanzia Zimbabwe, Zambia, Namibia hadi Angola.

“Daima wamekuwa wakiishi katika maeneo hayo, lakini lazima waondolewe Angola kwasababu ya vita. Najua Angola imekuwa ikishirikiana na Umoja wa Ulaya kujaribu kuondoa mabomu ya ardhini katika baadhi ya sehemu,” amesema.

“Unachohitajika kujua ni kuwa tembo hukumbuka yaliyotokea nyuma na kila wakati hujaribu kuepuka maeneo yenye hatari…” aliongez

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *