img

Wananchi tumieni kilimo cha mkakati- Dk. Mpango

November 30, 2020

Mwandishi Wetu – Kigoma WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Isdor Mpango, amewataka wakazi wa mkoawa Kigoma kujishughulisha na kilimo cha mazao ya kimkakati na kutumia vema soko linalopatikana ndani ya nchi pamoja na nchi jirani ya Burundi kujipatia kipato ili kuondokana na umasikini. Dk. Mpango ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Buhigwe,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *