img

UBINGWA WAMPASUA KICHWA KAZE

November 30, 2020

Asha Kigundula – Dar es salaam KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, amesema kuwa, amekuwa akiumiza kichwa namna gani atatimiza matarajio ya viongozi na mashabiki wa klabu hiyo, ambao kiu yao ni kubeba taji la ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu. Yanga imeshindwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu kwa misimu mitatu mfululizo, baada,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *