img

TDA chatembelea kliniki 14 kutoa elimu ugonjwa wa kisukari

November 30, 2020

Mwandishi Wetu- Dar es Salaam CHAMA cha  Ugonjwa wa Kisukari (TDA), kimefanya ziara katika kliniki 14 za kisukari nchini  na kutoa  elimu kwa watoto wenye ugonjwa wa kisukari aina ya kwanza, lengo likiwa kuwawezesha kujitambua na kuishi na ugonjwa huo, sanjari na kuelimisha wazazi na watoa huduma namna bora ya kuwahudumia watoto hao. Mratibu wa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *