img

Tanga Cement yasema imejipanga kutoa huduma bora

November 30, 2020

Mwandishi Wetu- Dar es Salaam UONGOZI wa kiwanda cha  Tanga Cement, umesema uko tayari kuendelea kuboresha bidhaa zake ili kuuunga mkono jitihada kubwa zinazofanywa na Rais Dk. John Magufuli ili kufikia uchumi wa viwanda. Umesema pamoja na kukabiliwa na mazingira ya changamoto mbalimbali katika sekta hiyo, umejipanga vizuri kuhakikisha unatoa huduma bora kama ambavyo umekuwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *