img

Polisi, wananchi kukomesha mauaji ya vikongwe

November 30, 2020

Abdallah amiri, Igunga JESHI la Polisi wilayani Igunga mkoani Tabora kwa kushirikiana na taasisi za dini na wananchi, wamejipanga kukomesha vitendo vya kikatili yakiwemo mauaji ya vikongwe vinavyoendelea kuongezeka katika wilaya ya Igunga. Kauli hiyo, ilitolewa na Mkuu wa Polisi Wilaya ya Igunga (OCD), Ally Mkalipa wakati akizungumza na wananchi na wanafunzi kwenye mkutano wa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *