img

Nendeni mkaitumikie vema jamii -Wasira

November 30, 2020

Asha Bani -Dar es salaam MWENYEKITI  wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Stephen Wasira amewataka wanafunzi zaidi 3,000 waliohitimu wa chuo hicho wakawe wazalendo ili kuitumikia jamii vema. Alisema hayo mwishoni mwa wiki  alipotangaza rasmi mkusanyiko wa mahafali 15 ya wanafunzi 3,000 wa fani mbalimbali katika chuo hiko. Aliwashauri wale wanaohitaji soko,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *