img

Mtumishi wa afya afikishwa mahakamani kwa tuhuma ya rushwa

November 30, 2020

Abdallah Amiri, Igunga, Tabora TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, imemfikisha Mahakama ya Hakimu Mfawidhi Wilaya ya Igunga, mtumishi wa idara ya afya anayeishi Mtaa wa Masanga kata ya Igunga anayefanya kazi katika hospitali ya wilaya ya Igunga Wallace Joseph Kazili miaka 52 kwa kosa la kuomba rushwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *