img

Mradi wa Maji Songea kukamilika ndani ya siku 60

November 30, 2020

Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga ametoa miezi miwili kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Songea (SOUWASA) kukamilisha ujenzi wa mradi wa maji kijiji cha Litisha katika Halmashauri ya wilaya ya Songea.

Mhandisi Sanga ametoa maelekezo hayo wakati wa ziara yake ya kukagua na kujionea maendeleo ya mradi huo.

“Nimefurahi kuona kisima kinatoa maji mengi sana na tenki tayari limekamilika lakini, bado miundombinu ya kuwafikishia wananchi maji haijakamilika; maelekezo yangu ni kuwa, ndani ya siku 60 mradi huu uwe umekamilika na wananchi wawe wamepata huduma ya maji,” amesema Sanga…

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *