img

Tarura yadhamiria kuunganisha Wilaya ya Ruangwa, Liwale

November 29, 2020

Na BEBI KAPENYA-LINDI WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), umeendelea kuboresha miundombinu ya barabara na madaraja katika Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Mkoa wa Lindi ikiwemo ujenzi wa daraja la Mto Mbwemkuru lenye urefu wa mita 75 linalojengwa katika barabara ya Chikwale hadi Liwale kwa gharama ya Shilingi Bilioni 4.5. Meneja wa TARURA,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *