img

TACAIDS yaagizwa kuwawezesha Vijana

November 29, 2020

Na Mwandishi Wetu KATIKA kudhibiti maambukizi mapya ya VVU kwa kundi la vijana ambalo linachangia kwenye maambukizi mapya ya kitaifa kwa asilimia 40, na asilimia 80 yake ni vijana wa kike, Tume ya Kudhibiti UKIMWI (TACAIDS) imeagizwa kuwawezesha vijana katika kudhibiti maambukizi mapya ya VVU kwa kujikita kwenye nyanja zingine badala ya kujielekeza kwenye VVU,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *