img

Ridhiwani Kikwete aahidi kupigania bajeti ya Chalinze

November 29, 2020

Na Mwandishi Wetu, Pwani MBUNGE wa Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete, ameahidi kushauriana na madiwani wenzake kwenda kujenga hoja katika vikao kwa ajili ya Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tarura) kuongezewa fedha za ujenzi wa miundombinu ya Halmashauri ya Chalinze ili ufanyike haraka kwa faida ya maendeleo ya wana Chalinze. Akizungumza mjini hapa jana,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *