img

Rais Magufuli amteua Polepole kuwa mbunge

November 29, 2020

Na Faraja Masinde Rais Dk. John Magufuli leo Novemba 29, amemteua, Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Kabla ya uteuzi huo, Polepole alikuwa Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).  Aidha, Rais Magufuli amemteua, Riziki Lulida kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *