img

Mfuko wa Umoja waweka rekodi

November 29, 2020

-Na FARAJA MASINDE UKUBWA wa Mifuko ya Uwekezaji umeongezeka kutoka Sh bilioni 290.7 Juni 30, mwaka jana hadi kufikia Sh bilioni 412.8, Juni, mwaka huu. Hayo yalielezwa jana na Mwenyekiti wa Bodi ya UTT AMIS, Casmir Kyuki wakati akiwasilisha taarifa yake kwenye Mkutano Mkuu wa wawekezaji wa Mfuko wa Umoja uliofanyika kwa siku mbili jijini Dar,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *