img

Kamanda Mtafungwa awaonya madereva

November 29, 2020

Na OSCAR ASSENGA-TANGA KAMANDA wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Wilbrod Mtafungwa amewataka madereva  wanaoendesha mabasi na magari mengine ya abiria kuhakikisha wanazingatia sheria za usalama barabarani hususani kipindi cha kuelekea sikukuu za mwishoni mwa mwaka. Mtafungwa aliyasema hayo jana Jijini Tanga wakati wa tukio la usalama barabara liliofanywa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *