img

Balozi Mbundi: Tunahitaji kuungwa mkono usio na masharti

November 29, 2020

Na BRIGHITER MASAKI-DAR ES SALAAM. SERIKALI imesema inahitaji kuugwa mkono usio na masharti ambao hautasababisha kumomonyoka kwa umoja na mshikamano wa Taifa  na hivyo kusababisha machafuko na mvurugano wa amani. Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Siasa, Ulinzi na Usalama, Balozi Stephen Mbundi katika mahafali ya 23 ya Chuo cha,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *