img

WHO:Chanjo isitarajiwe kutokomeza kabisa virusi vya corona

November 28, 2020

Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limesisitiza kwa mara nyingine tena kwamba inahitajika asilimia 60 mpaka 70 ya watu wapatiwe chanjo ili kupatikane kuwepo kinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona kwa makundi ya watu. WHO limesema kwa namna hiyo mafanikio mazuri yataweza kupatikana katika mapambano dhidi ya janga hilo. Mratibu wa misaada ya dharura,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *