img

“Tumieni taaluma zenu kuleta majibu ya changamoto”- Serikali

November 28, 2020

Na Mwandishi Wetu Serikali imezitaka Taasisi za Utafiti wa masuala ya Ukimwi kuja na suluhisho la changamoto zinzokwamisha Tanzania kushindwa kufikia malengo kwenye tisini tatu ikiwamo kuiwezesha Tanzania kujitegemea yenyewe badala ya kusubiri wahusani. Hayo yalielezwa juzi, na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Prof Mabula Mchembe wakati alipokuwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *