img

TGS: Rais Magufuli anastahili pongezi

November 28, 2020

Na YOHANA PAUL-MWANZA JUMUIYA ya Wajiolojia nchini (TGS), wamesema, Rais Dk. John Magufuli anastahili pongezi kutokana na kazi kubwa aliyoifanya kiasi cha kupelekea mapinduzi makubwa katika sekta ya madini nchini. Hayo yalisemwa juzi mkoani Mwanza na Rais wa TGS, Prof. Abdulakarim Mruma wakati wa uzinduzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa Jumuiya hiyo ambapo alisisitiza,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *