img

Ni Super Sunday Ndani ya EPL ! – London Derby kuchezwa Darajani – Stamford Bridge.

November 28, 2020

Chelsea Kuwakaribisha Tottenham Hotspurs! Moja kati ya michezo yenye ushindani wa kipekee ni London Derby, mchezo kati ya Chelsea na Tottenhamhaujawahi kuwa wa mzaha mzaha, kila timu huwa inatafuta matokeo kwa namna yeyote ile. Jumapili hii majira ya saa 1:30 usiku, dimba la Stamford Bridge litapambwa kwa jezi za blue na nyeupe pale ambapo Chelsea,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *