img

Mji mkuu wa jimbo la Tigray, Mekele washambuliwa vikali

November 28, 2020

Kiongozi wa Tigray Debretsion Gebremichael ameliambia shirika la habari la Reuters kwamba mji wa Mekelle unashambuliwa vikali kwa mizinga. Katika tamko lake serikali ya jimbo la Tigray limetoa wito kwa wote wenye dhamira ya kweli, ikiwa  pamoja na jumuya ya kimataifa kulaani mashambulio ya mizinga na ya ndege pamoja na mauaji ya halaiki  yanayofanyika. Mwanadiplomasia,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *