img

Aunty Ezekiel ajifungua mtoto wa kiume

November 28, 2020

 Malkia wa Bongo movie Aunty Ezekiel Amejifungua mtoto wa kiume, kupitia akaunti ake amepost video  na kutoa neno la shukrani.

Ikumbukwe kuwa Aunt Ezekiel huyu mtoto wake wa pili ambaye wa kwanza ni wa kike na amezaa na dansa wa msanii Daimond Platinum Mose Iyobo huku huyu wa pili ni wa kiume nababa wa mtoto bado ajajulikana.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *