img

Polisi wazuia msafara wa Bobi Wine, waamrisha hotel zisiwahudumie

November 27, 2020

Mgombea Urais nchini Uganda kupitia NUP, Robert Kyagulanyi au Bobi Wine na msafara wake wamelazimika kulala kwenye magari huko Migera

Katika Ukurasa wake wa Twitter, Bobi Wine ameandika Polisi walifunga njia zote zinazoelekea Hoima walipotaka kwenda kutumia usiku wao huko.

Pia amedai Polisi waliamrisha hoteli zote zisiwape vyumba hivyo walilazimika kulala barabarani kwenye magari yao.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *