img

Ndugai mgeni rasmi maadhimisho ya walemavu

November 27, 2020

Na RAMADHAN HASSAN-DODOMA SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya Watu wenye ulemavu duniani yatakayofanyika kimkoa Wilayani Kongwa. Hayo yalielezwa jana jijini hapa na Katibu wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu (Shinyawata) Mkoa wa Dodoma, Justus Ngw’antalima alipokuwa akizungumza na waandishi wa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *