img

Miradi ya maji Chalinze kukamilika mwakani

November 27, 2020

Na Mwandishi Wetu, Pwani MENEJA wa Dawasa-Chalinze, Onest Makoi, amesema miradi yote ya maji inatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka 2021 na amewataka wananchi wawe tayari kwa maboresho hayo ikiwamo upanuzi wa miundombinu ya maji, umaliziaji wa ujenzi wa matenki na usambazaji wa maji awamu ya tatu. Kauli hiyo aliitoa mjini hapa jana wakati wa ziara,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *