img

King 98 aibuka upya na ‘I Bet’

November 27, 2020

NA CHRISTOPHER MSEKENA STAA wa muziki nchini Zimbabwe, Ngoniszone Dondo a.k.a King 98, ameachia wimbo mpya, I Bet ukiwa ni mwendelezo wa kuwapa raha mashabiki baada ya kufanya vizuri na wimbo, Kachiri aliomshirikisha Diamond Platnumz. King 98 anayesimamiwa na Impala Music Group, ameliambia MTANZANIA jana kuwa ndani ya ndani ya I Bet, ameonyesha utundu mkubwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *