img

It all about Cards wajitosa kudhamini Miss Tanzania

November 27, 2020

NA JEREMIA ERNEST Mdhamini wa shindano la Miss Tanzania mwaka 2020, Amina Swedi kutoka Kampuni ya (it’s all about cards) ambayo inajihusisha na kutengeneza kadi za shughuli mbalimbali amesema amejitosa kudhamini shindano hilo kwa sababu lina ibua viaji vya wanawake. Akizungumza na MTANZANIA Digital leo Ijumaa, Novemba 27, Amina amesema wasichana wengi wanafanya vizuri katika,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *