img

‘Grateful’ ya Julien Rashidi yatua Bongo

November 27, 2020

NA CHRISTOPHER MSEKENA KUTOKA Perth, Western Australia mwimbaji nyota wa Injili, Julien Rashidi, amewashukuru wapenzi wa muziki huo kwa mapokezi makubwa ya wimbo wake, Grateful alioachia hivi karibuni. Julien mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ameliambia MTANZANIA kuwa amepata mrejesho mkubwa kutoka kwa mashabiki wa Afrika Mashariki hasa Tanzania ikiwa ni pamoja,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *