img

Waziri mkuu wa zamani wa Sudan afariki kwa virusi vya corona

November 26, 2020

Sadiq al-Mahdi alichaguliwa kidemokrasia kwa mara ya kwanza kama waziri mkuu kabla ya kupinduliwa mwaka 1989Image caption: Sadiq al-Mahdi alichaguliwa kidemokrasia kwa mara ya kwanza kama waziri mkuu kabla ya kupinduliwa mwaka 1989

Waziri Mkuu wa zamani wa Sudan Sadiq al-Mahdi amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa corona wiki tatu baada ya kulazwa hospitalini kwa katika Muungano wa nch za kiarabu(UAE), kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na familia yake na kutoka chama chake cha Umma-National Umma Party.

Alilazwa baada ya watu 21 wa familia ya al-Mahdi kupata maambukizi ya virusi vya corona mapema mwezi wa Novemba.

Al-Mahdi ambaye amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84- alikuwa Waziri Mkuu hadi 1989 wakati alipopinduliwa katika mapinduzi na Rais Omar al-Bashir.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *