img

RC Shigela asimamisha watumishi 8 TRA

November 26, 2020

NA OSCAR ASSENGA,MKINGA MKUU wa  Mkoa wa Tanga, Martin Shigela amewasimamisha kazi watumishi 8 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kituo cha Horohoro wilayani Mkinga, huku akiamuru Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Daudi Mwafwimbo kuwakamata na kuweka chini ya ulinzi. Uamuzi huo,umekuja baada ya kuundwa  kamati ya uchunguzi kituoni hapo kwa madai ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *