img

Nyota wa Rap Jay-Z kuwa afisa mkuu wa kampuni ya bangi

November 26, 2020

Mwanamziki rapa maarufu wa Marekani Jay-Z ametajwa kama “afisa mkuu wa maono” wa kampuni kubwa mpya ya bangi. Bangi ni halali katika majimbo kadhaa ya nchini marekani, ikiwemo California, ambapo sasa ni biashara kubwa. Jay-Z ataongoza mikakati ya kampuni ya TPCO na kuandikisha “wasanii wengine mashuhuri kukuza biashara hiyo

Source link

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *