img

Madiwani Kiteto wapendekeza majina ya mwenyekiti na makamu

November 26, 2020

Na MOHAMED HAMAD, KITETO MADIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Kiteto katika Mkoa wa Manyara, wamependekeza majina ya mwenyekiti na makamu wake kuongoza halmashauri. Mapendekezo hayo yatawasilishwa kikao cha madiwani ambapo hata hivyo watakaowapitisha ni madiwani wa CCM kwa kutokuwa na vyama vya upinzani. Aliyeshinda uchaguzi huo ni Diwani wa Kata ya Songambele Abdallah,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *